We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, May 31, 2019

Ilichokisema TRA kuhusu mabadiliko Sheria ya Kodi “Tuna kiwango mfuto” (+video)

Ikiwa ni Mei 31, 2019 tunayo stori kutokea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo imefafanua na kutoa elimu kuhusu Mabadiliko ya Sheria ya Kodi ikiwemo ya majengo kutokana na kupokea malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja Elimu kwa Mlipa kodi TRADiana Masallaamesema kuna mabadiliko yalifanyia Februari 2019 ambapo utekelezaji ukiwa mgumu inatengezwa sheria ya mabadiliko ambapo kwa sasa wanatoa elimu kuhusu kodi ya majengo kwa kuweka Kiwango Mfuto.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list