We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 29, 2019

Watu 27 Wafariki kwa Kunyweshwa Sabuni ya JIK Kanisani


Watu takriban 27 wamefariki dunia baada ya mchungaji wa kanisa la kilokole la 'AK Spiritual Christian Church' lililopo Limpopo nchini Zambia, kuwanywesha dawa ya kuondoa madoa 'jik' wakiwa kanisani.


Taarifa kutoka Zambia zilizochapishwa na jarida la Zambia Observer, zinasema kwamba mchungaji Phala aliwaambia waumini wake kuwa jik hiyo inaondoa mapepo, hivyo akaanza kuwanywesha kwa nia ya kuwaombea mapepo yao yaondoke.

Licha ya vifo hivyo, pia waumini wengine 18 hali zao si nzuri, na bado wapo hospitali wakipatiwa matibabu.

Polisi wa Limpopo wameanza uchunguzi juu ya tukio hilo, huku wakioneshwa kushangazwa kwao, ambapo miongoni mwa waliofariki, wapo wauguzi wa afya na walimu..

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list