Ni mwendo wa party ndani ya video mpya Oh My Ghosh Remix toka kwa mwanadada Yemi Alade toka Nigeria akiwa pamoja na rapa mkubwa toka Marekani William Leonard Roberts II maarufu kama Rick Ross.
Imekuwa rahisi sana kwa mwanadada Yemi Alade kupata shavu na rapa huyo kutokana na wawili hao ni mabalozi wa kinywaji cha Belaire.
TAZAMA VIDEO HAPA
No comments:
Post a Comment