Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa yeye anataka maendeleo kwanza na hana mpango wa kuongeza Mkoa Mpya.
Rais Magufuli amesema kuwa yeye muda wake ukiisha badala ya kuwa Mikoa 26 waweke hata 50 hata kuwa na shida.
"Mimi nataka maendeleo kwanza, siku nimeondoka muda wangu muanzishe Mikoa sasa hata badala ya mikoa 26 wekeni hata 50 mimi sina tatizo lakini sasa hivi tuijenge nchi," alisema Rais Magufuli.
No comments:
Post a Comment