We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 29, 2019

“Saka kushoto na kulia, kata mikono yote, piga bangili” RC Mwanri (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriakifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Pamba Igembensabo Wilayani Igunga ameagiza kukamatwa kwa wahusika wote waliotafuna zaidi ya Milioni 28 kutoka Vyama vya Ushirika 29 vya Mkoa wa Tabora.
“Hatukubali watu wanaingia katika Vyama vyetu vya msingi wakafanya makosa yaleyale tutakata mikono yote miwili na wale walioondolewa wafuatwe huko waliko saka kushoto, kulia na katikati piga bangili sukuma ndani na hakuna cha kutoa huruma, hatuwezi tukaanza ushirika kwa misingi ya kule nyuma”RC Mwanri

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list