Manara aamka na Dongo hili kwa Yanga
Jana klabu ya Simba ilishindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kutoa sare ya bila kufungana na TP Mazembe, wakati hayo yakiendelea Yanga pia jana walikuwa na uzinduzi wa kuichangia Yanga.
Uzinduzi huo ulifanyika mkoani Dodoma sasa kupitia hilo Haji Manara ameandika asubuhi ya leo kuhusu uzinduzi huo kwa lugha ya Kuwapiga Yanga Dongo.
Maisha yana kasi sana,hv ni nani anakumbuka kile kipindi tulichokuwa tunachekwa?
Kile kipindi cha wakimataifa?
Kile kipindi cha Uturuki?
Kweli alie juu mfate huko huko umpe mambata ndio umshushe!!
Kile kipindi cha wakimataifa?
Kile kipindi cha Uturuki?
Kweli alie juu mfate huko huko umpe mambata ndio umshushe!!
Hahahahaha wakati jana miamba ya Afrika TP Mazembe na Simba zikiumana pale Taifa ktk Robo fainali ya Afrika,ndugu zetu walikuwa wanajikwamua na Saccos pamoja na Tasaf!!
Maisha hayako fair kabisa Wallah.
No comments:
Post a Comment