We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 1, 2019

Magdalena Sakaya aunyemelea Urais


Mbunge wa Kaliua, Naibu Katibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya amesema kuwa anatamani kuwa mwanamke wa kwanza kwenye nchi hii kuwa Rais.

Sakaya amesema kuwa kwasasa yupo njiani anapiga hatua kwenda mbele kwenye uongozi wake.

"Natamani nije hata nigombee Urais wa Nchi hii ndio ninacho tamani nije niwe Waziri Mkuu nikitoka hapo niwe Rais au niende Urais au niwe mwanamke wa kwanza kwenye nchi hii kuwa Rais wa kuongoza nchi hii kwa hiyo hapa nipo njiani napiga hatua kwenda mbele," Alisema Sakaya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list