We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 1, 2019

Maalim Seif Atoboa Siri ya Kuhama na Wanachama wa CUF

Maalim Seif atoboa siri ya kuhama na wanachama wa CUF
Makamu wa kwanza wa Rais (Mstaafu) wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuhamia kwake chama cha ACT Wazalendo hakijawachanganya wanachama wa CUF.

Kwenye mahojiano na kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV amesema wanachama wa CUF walioamua kuhama naye tayari walikuwa wamechoka mgogoro ndani ya chama hicho.

"Kuhama kwangu sidhani kama tunavuruga wanachama wenyewe walishachoka na mgogoro huu, waliumia nilivyohama lakini baada ya masaa matatu tu baada ya kuhamia ACT-Wazalendo walifarijika na mliona walivyonifuata, tunashusha Tanga, tunapansisha Tanga" Maalim Seif Hamad," amesema.

Aliendelea kwa kusema, 'Hayakuwa ni maamuzi ya ghafla kuhamia ACT- Wazalendo tulijipanga baada ya kuona dalili ya kunyang'anywa chama, niliwaambia wenzangu wasiwe na shaka sisi ni washindi'. 

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list