Kocha wa Simba amewaita mashabiki wa Simba kwenda kuujaza uwanja kwenye mechi yao dhidi ya TP Mazembe.
"Nimeongea na watu wa CAF wakaniambia Simba ndio ilikuwa na wastani wa mashabiki wengi kuingia uwanjani."
"Kwa hiyo napenda kuwakumbusha kuwa matokeo tuliyopata ni kutokana na mashabiki. Nawashukuru sana kwa support yao na nafahamu dhidi ya Mazembe watakuwepo na watatusaidia sana kwa sababu wao ni muhimu."
No comments:
Post a Comment