We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, April 29, 2019

JPM AWEKA KIPORO ‘SHAMBA LA WACHINA’: UMECHOMEKEA, NIKIJIBU HARAKA NITAHARIBU – VIDEO

RAIS Dkt John Pombe Magufuli amewataka wananchi wa Uyole mkoani Mbeyaamewataka wananchi wa wilaya hiyo kuwa wavumilivu wakati akitafuta njia ya kutatua ombi lao la kupea eneo kwa ajili ya ujuezi wa Kituo cha Mabasi madogo (daladala) na Soko la Uyole.

Magufuli ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 29, 2019, wakati akizungumza na wananchi hao baada ya Mkuu wa Mkoa huo kumweleza kuwa wanaomba kuchukua sehemu ya neo la Shule ya Msingi Uyole na Sehemu ya Chuo cha Uyole ili kufanikisha ujenzi huo, lakini Rais amesema wampe muda azuzungumze na watalaamu wa ardhi ili waone namna ya kuwapa eneo kwa ajili ya mradi huo.

“Kwani sheria ya ardhi ya mwaka 1996 inaruhusu mgeni kumiliki ardhi? Hilo neo la Wachina lina ukubwa gani? (RC Chalamila akajibu mita za mraba 2,0000). Kwa hiyo ni kama nusu heka. Ndugu zangu nikitoa jibu la haraka nitaharibu, mniachi leo nitazungumza na wataalam wa ardhi, tutalipatia ufumbuzi, najua mmenielewa.

“Watu wa Uyole hawatakiwi kulalamika wakati wananchapa kazi, nimezisikia hizo changamoto naomba mniachie, ‘ahadi ni deni’, hata ulipochomekea la wilaya sijalijibu lakini nimlipokea,” amesema Magufuli.

MSIKIE MAGUFULI AKIZUNGUMZA

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list