We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, April 9, 2019

Hazard kawapiga mbili West Ham, waandishi wakamuuliza ni kweli anahamia Real Madrid?

Club ya Chelsea usiku wa April 8 2019 ilicheza game yake ya 33 ya Ligi Kuu England dhidi ya West Ham United, huo ukiwa ni muendelezo wa harakati zao za kuwania kumaliza TOP 4 katika Ligi Kuu ya England ili wakate tiketi ya kucheza UEFA Champions League kwa msimu ujao wa 2019/2020.
Chelsea wakiwa nyumbani wamefanikiwa kuingia TOP 4 wakati huu wakilazimika kusubiri matokeo ya game za Tottenham na Arsenal, Chelsea wamefanikiwa kupata ushindi wa mgaoli    2-0, magoli yakitiwa nyavuni na staa wao Eden Hazard aliyefunga yote mawili dakika ya 24 na 90 ya mchezo huo.
Baada ya game kumalizika wakati wa mahojiano Eden Hazard aliulizwa kuhusiana na tetesi za kwenda Real Madrid mwisho wa msimu na alijibu hivi “Kwa sasa naiangalia Chelsea hadi mwisho wa msimu, nataka tumalize TOP 4 na Europa League bado tuna mengi ya kufanya halafu tutaona”>>>Hazard

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list