“Ni kweli nilikwenda kwa Mganga na alienipeleka ni Meneja wangu” hayo ni baadhi ya maneno ya Staa wa Bongofleva Darassaalipokaa kwenye On AiR with MillardAyo, utafanyaje pale ambapo Boss au Msimamizi wa kazi zako anakuchukua kwenda kwa Mganga ili mfanikiwe zaidi kifedha? Darassa kafunguka kila kitu kuanzia alivyokwenda kwa Mganga mpaka alipotoka… bonyeza play hapa chini kumtazama
Darassa ambae ngoma yake ya mwisho kuiachia ni “chanda chema” aliyofanya na Marioo, ameitangazia Tanzania ikae tayari kwani Jumapili ya April 7 2019 kuna kitu anafanya ambapo swali lake kubwa linaloambatana na hiyo siku ni JE UMEALIKWA?” mfollow kwenye Instagram yake kwa kubonyeza HAPA ili kupata post zake moja kwa moja.
No comments:
Post a Comment