April 1, 2019 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango akiwa mkoani Dodoma amesema kuwa katika kipindi kifupi cha utekelezaji wa zoezi la udhibiti wa biashara ya kubadilisha fedha za kigeni nchini thamani ya shilingi imeimarika huku upatikanaji wa fedha za kigeni ukiimarika zaidi katika benki za biashara.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment