We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 30, 2019

Kauli ya kwanza ya Ole Gunnar Solskjaer baada ya kupewa mkataba Man United

Siku moja imepita toka club ya Man United impe mkataba wa kudumu aliyekuwa kocha wao wa muda wa club hiyo Ole Gunnar SolskjaerMan United imeamua kumpa mkataba wa miaka mitatu baada ya kujiridhisha kuwa Solskjaer anastahili kuendelea na kuifundisha Man United.
Ole Gunnar Solskjaer amepewa mkataba wa miaka mitatu wa kuifundisha timu hiyo, awali alikuwa amepewa mkataba wa muda mfupi kama kocha wa muda hadi mwisho wa msimu aliyekuwa amechaguliwa kumrith Jose Mourinho aliyefutwa kazi na Man UnitedDecember 2018.
Ole Gunnar ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kusaini mkataba huo “Hii imekuwa ndoto yangu ya muda wote, nitakuwa yule yule kama nilivyokuwa siku zote na najua matarajio ya klabu, utamaduni wa club na historia ya club, bila shaka najua nitafanya vizuri na nitafanikiwa na kuinua mataji”>>>Ole Gunnar Solskjaer
Uongozi wa Man United umefikia hatua ya kumuamini Ole Gunnar Solskjaer na kumpa mkataba wa miaka mitatu, baada ya kuiongoza Man United katika michezo 19, wakishinda 14, sare michezo miwili na wamepoteza michezo mitatu, huku Solskjaer akiweka rekodi kuwa kocha wa kwanza wa Man United katika historia kushinda michezo 9 ya ugenini mfululizo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list