We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, March 30, 2019

Dogo Janja kuhusu Uwoya ‘Namiss kumpiga makofi, moment ni nyingi”

Mume wa zamani wa Irene UwoyaDogo Janjaameongelea vitu anavyovikosa kwa Irenebaada ya wawili hao kutengana na kusema kuwa ana-miss kumpiga makofi na amefunguka na kuweka wazi kuwa kuna vitu ambavyo wameshafanya pamoja.
Dogo Janja ameongelea ishu hiyo kupitia mahojiano aliyoyafanya na kipindi cha XXL cha Clouds FM jana March 29,2019 baada ya kwenda kutambulisha ngoma yake mpya ya ‘Yente’ na aliongeza na kusema anafurahishwa na jinsi Irene Uwoya anavyopambana lakini anatamani kuona akifanya vitu tofauti na wengine.
“Namiss kumpiga makofi ,Kuna vitu vingi ambavyo tumefanya pamoja na Irene Uwoya moment ni nyingi kikubwa namiss kumpiga makofi, nafurahi kuona jinsi anavyopambana na toka zamani nilikuwa natamani kuona akifanya vitu vyake na kumtofautisha na watu wengine” >>>Dogo Janja

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list