We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, March 1, 2019

Harmonize Atoa Siri Kuhusu EP Ya Afro Bongo




Msanii wa Muziki wa Bongo fleva kutoka katika label ya WCB, Harmonize amefunguka na kutoa siri kuhusu EP (Extended Playlist) yake ya Afro Bongo.


Wiki iliyopita Harmonize aliachia ngoma nne kwa Mpigo alizozipa jina la Afro Bongo Lakini jana ametoa siri kuwa video za nyimbo zake nne zote zipo tayari.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameweka wazi kuwa tayari video za nyimbo zote nne akizoziachia ziko tayari.


MHH…!!! USICHOKIJUA NIKWAMBA

NGOMA ZOTE ULIZOZISIKIA KWENYE #AFROBONGO VIDEO ZAKE ZOTE ZIPO TAYALI BASI HAPA NILIVYOKAA NI KAMA MZEE YUSUFU YANI SINA PLESHAAA KWENYE TAALUMA YANGU …!! 🀣

OYAAA…!!! LINK PA BIO × @yemialade πŸ₯πŸŽ»πŸŽΆπŸŽΈ @krizbeatz_ LET’S GO …!!!”.



No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list