Leo February 26 2019 Wabunge wa CUF upande wa Maalim Seif wameiomba mahakama kuharakisha maamuzi ya kesi na kuamua uhalali wa Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Lipumba, kwani kuchelewa kufanya maamuzi kunapeleka kuendelea kwa mgogoro kwenye chama hicho hali inayoathiri utendaji kazi wa wabunge.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment