Sakata la Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya (EU), Balozi Roeland van de Geer kuondoka nchini liliibuka jana Bungeni ambapo Wabunge walihoji juu ya kuzorota kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Ulaya.
==>>Sikiliza hapo chini
No comments:
Post a Comment