We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, January 31, 2019

NGOMA MPYA : SAUTI SOL WAMVUTA VANESSA MDEE KWENYE ‘KAMASUTRA’


Kundi bora la muziki Afrika Mashariki toka Kenya, ‘Sauti Sol’ wametupia macho Tanzania na kumchukua mwanadada Vanessa Mdee kwenye wimbo wao ‘Kamasutra’


Wimbo wa Kamasutra umetengenezwa na Sauti Sol wenyewe.Download baada ya kusikiliza kama umeupenda.


Isikilize hapa.



No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list