Leo January 30, 2019 Serikali imemuagiza IGP Sirro kutuma timu ya Wataalamu kusaidia uchunguzi katika mauaji yaliyotokea Mkoani Njombe.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masaunikufuatia kuibuka kwa utekaji na mauaji ya Watoto.
Timu hiyo itakwenda kusaidia kukabiliana na mauaji hayo pamoja na kuwahoji watuhumiwa waliokamatwa.
No comments:
Post a Comment