Usiku wa August 23, 2019 mshindi wa Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth alikabidhi taji la umiss Tanzania kwa mshindi wa Miss Tanzania 2019, ambaye ni Silvia Sebastian.
AyoTV zilikuepo kwenye shughuli hiyo ya kumtafuta Miss Tanzania na kufanikiwa kuyapata matukio muhimu yaliyojiri katika usiku huo.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL VIDEO.
No comments:
Post a Comment