Baada ya kufanikiwa kutinga raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa kwa ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Township Rollers, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea nchini kesho usiku
Yanga inarejea mapema ili kuwahi mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa August 28 kwennye uwanja wa Taifa/Uhuru
Kikosi kinatarajiwa kuwasili saa saba usiku
No comments:
Post a Comment