Wakati klabu ya Simba ikitangaza kuvunja mkataba wa aliyekuwa beki wake wa kulia Zana Coulibaly, AS Vita imemnasa beki huyo juu kwa juu na yuko mbioni kukamilisha usajili wake huko DR Congo
Zana aliyekuwa nchini akisikilizia hatma yake baada ya mkataba wake na Simba kuvunjwa, ametua Congo mapema leo
Inaelezwa kocha Mkuu wa AS Vita Florent Ibenge ndiye aliyependekeza kusajiliwa kwa beki huyo fundi wa kupiga krosi
No comments:
Post a Comment