We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, June 6, 2019

Sio siri tena Ommy Dimpoz kaamua kuweka hadharani

Leo June 6,2019 mwimbaji kutokea kwenye industry ya Bongo Fleva Ommy Dimpoz amechukua headlines tena kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupost picha pamoja na videos zikimuonyesha akiwa na mtoto mdogo na wengi kuhisi labda ni mtoto wake.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Ommy Dimpoz ameandika caption ambayo wengi wameipigia mstari na kusema kuwa inawezekana yule ni mtoto wake, Ommy hakutaja jina la mtoto huyo lakini alionekana akiwa nae Aiport ya Barcelona kama wanasafiri nae hivi.
Ommy Dimpoz ni miongoni mwa mastaa ambao hawapendi kuweka mambo yao hadharani ingawa ni mtu wa kupost picha mara kadhaa kupitia ukurasa wake wa instagram, hivyo inasemekana huyo ni mtoto wake kutokana na staa huyo kutumia picha na video akiwa na mtoto kudai kuwa ndio sababu inayomfanya aende sana Ulaya.
Ommy Dimpoz amempost mtoto huyo akiwa nae na kuandika hivi “Vipi Dengue Imeisha Nirudi nae? Haya Nafikiri yale Maswali ya unafanya nini Ulaya kila siku YAMEISHA😁😁”ameandika Ommy Dimpoz kupitia ukurasa wake wa Instagram.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list