Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa rushwa kwa baadhi ya watumishi wachache wanaiendeleza.
Rais Magufuli amesema kuwa ni matumaini yake kuwa wafanyabiashara hao leo hawatakuwa wanafki na mzizi wa fitna wataumaliza leo.
"Rushwa kwa baadhi ya watumishi mfano bandarini, TRA, maeneo ya mipaka, bado watumishi wachache wanaendeleza michezo ya rushwa, ni matumaini yangu wafanyabiashara leo hamtakuwa wanafki ili mzizi wa fitna tuumalize leo, " Rais Magufuli Ikulu katika mkutano wake na Baraza la Biashara la Taifa.
No comments:
Post a Comment