Viongozi wa Ngome ya vijana wa ACT-Wazalendo na Mabaraza ya jumuiya ya vyama vya upinzani vinatarajia kufanya maandamano, Maandamano hayo yanatarajiwa kufanyika April 9, 2019 kwa leongo la kulishinikiza Bunge kutengua kauli yake ya kutokufanya kazi na CAG, ambapo maandamano hayo yatapokelewa na Spika wa Bunge Jijini Dodoma.
ANGALIA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE.....
No comments:
Post a Comment