Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma inawashikilia Watumishi saba wa Wilaya ya Kakonko akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kwa tuhuma za ubadhilifu katika ujenzi wa Kituo cha Afya Gwanumbu ambapo Zaidi ya Milioni Tisini hazionekani matumizi yake.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa TAKUKURU anayekaimu pia Wilaya ya Kakonko Michael Yombe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
No comments:
Post a Comment