Leo April 5, 2019 Rais Magufuli akiwa Mkoani Ruvuma “Nimefika Nakapanya, Wananchi wamejenga soko halifanyi kazi, kisa kuna mvutano na Mahakama, hamkujua kama pale ni Mahakama?, Viongozi wapo hawatatui matatizo”.
“Sasa nimeagiza lile soko lianze kufanya kazi na Mahakama ile kwa kuwa ni ya zamani ibomolewe, ijengwe mpya, RC, ijengwe haraka ili wafungwa wasianze kushangilia hakuna pa kushtakiwa, huku watuhumiwa ni wengi. wapo majangili kule” Rais Magufuli
No comments:
Post a Comment