Kocha wa Yanga, Mwingi Zahera amesema kuwa ataendelea kubaki na kuifundisha timu hiyo ya Yanga kwa kipindi chake chote hadi pale atakapofukuzwa.
Zahera amesema kuwa maneno hayo yanatoka Moyoni kutokana na moyo wa Mashabiki wa timu hiyo ambao wamekuwa wakimuunga mkono katika kipindi chote kigumu ambacho timu hiyo imekuwa ikipitia.
Zahera ameyasema hayo April 06,2019 wakati wa hafla ya kuichangia timu hiyo inayofanyika Dodoma.
No comments:
Post a Comment