Leo kuna Der Klasiker nyingine kali na yenye historia katika nchi ya ujerumani, Miongoni mwa Derby kubwa katika bara la ulaya Bayern Munich dhidi ya Borussia Dortmund.
Mchezo huu utakaochezwa siku ya leo May06,2019 saa moja na nusu usiku utakuwa ni wa mia moja kukutana kati ya Bayern Munich dhidi ya Borussia Dortmund katika kuadhimisha mechi ya 100 timu hizi zimepanga kubadilishana rangi ya Jezi zao
Dortmund wanaotumia Rangi ya Njano watavaa rangi nyekundu ambayo hutumiwa na Bayern huku Bayern Munich ambao huvaa Rangi Nyekundu watavaa Rangi ya Njano
Ni mchezo ambao kila timu inapaswa kushinda ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa ligi msimu huu, Bayern watakuwa nyumbani Allienz Arena uwanja ambao hawajapoteza mchezo hata mmoja kati ya michezo 4 walichoza dhidi ya Dotmund,
.
Itawalazimu kutumia uwezo wa ziada ili Bayern kushinda kwani kocha wao Nico Kovac ana historia mbaya dhidi ya kocha wa Dortmund Lucien Favre, ambae ni kocha wa Dortmund hajapoteza mchezo hata mmoja dhidi ya kocha ya Bayern katika pindi chote walichokutana wakiwa na vilabu tofauti tofauti katika michezo 5 Amefungwa michezo minne na amesare mchezo mmoja

Timu hizi zinakutana katika kipindi ambacho Bayern wapo katika nafasi ya pili wakiwa na alama 61 nyuma ya Dotmund yenye alama 63 taarifa za chini ya kapeti zikidai Uongozi wa Bayern wanapanga kumfuta kazi Nico Kovac licha ya aliewahi kuwa kocha wa Klabu hiyo Ottmar Hizflied kumkingia kifua na kusema Nico ni kocha bora na bado anafaa kuiongoza Bayern.
Source: Star TV
No comments:
Post a Comment