April 5, 2019 Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe ameitaka Serikali kuacha mara moja kuruhusu vitengo visivyo na taaluma ya ukusanyaji kodi hasa kwa wafanyabiashara ambavyo vimekuwa vikiishia kuwaumiza wananchi kutokana na kutokujua mipaka ya kazi zao ikiwa inahitaji kuwasaidia wananchi wake.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment