Simba inaendelea kusaka 'wakali' wa kuimarisha kikosi chake ambapo imemleta mchezaji mwingine kutoka nchini Ivory Coast kwa ajili ya kufanya majaribio
Jean Vital Ourega kiungo mkabaji kutoka Ivory Coast amekuwa mchezaji wa nne kutua kufanya majaribio
Vital ametokea klabu ya Karela United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana
No comments:
Post a Comment