Nyingine kali ya mwaka 2019 msanii toka Arusha G Nako amewakutanisha Aslay pamoja na Rich Mavoko na kuwaweka kwenye nyimbo moja ya Edda.
Wimbo umetengenezwa na S2Kizzy.Unaweza ku download baada ya kuusikiliza chini.
Isikilize hapa.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...
No comments:
Post a Comment